الزلزلة
Az-Zalzala
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِذَا زُلۡزِلَتِ ٱلۡأَرۡضُ زِلۡزَالَهَا
Open ayah 99:1Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake!
وَأَخۡرَجَتِ ٱلۡأَرۡضُ أَثۡقَالَهَا
Open ayah 99:2Na itakapo toa ardhi mizigo yake!
وَقَالَ ٱلۡإِنسَٰنُ مَا لَهَا
Open ayah 99:3Na mtu akasema: Ina nini?
يَوۡمَئِذٖ تُحَدِّثُ أَخۡبَارَهَا
Open ayah 99:4Siku hiyo itahadithia khabari zake.
بِأَنَّ رَبَّكَ أَوۡحَىٰ لَهَا
Open ayah 99:5Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!
يَوۡمَئِذٖ يَصۡدُرُ ٱلنَّاسُ أَشۡتَاتٗا لِّيُرَوۡاْ أَعۡمَٰلَهُمۡ
Open ayah 99:6Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!
فَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٍ خَيۡرٗا يَرَهُۥ
Open ayah 99:7Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!
وَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٖ شَرّٗا يَرَهُۥ
Open ayah 99:8Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!