الهمزة
Al-Humaza
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
وَيۡلٞ لِّكُلِّ هُمَزَةٖ لُّمَزَةٍ
Open ayah 104:1Ole wake kila safihi, msengenyaji!
ٱلَّذِي جَمَعَ مَالٗا وَعَدَّدَهُۥ
Open ayah 104:2Aliye kusanya mali na kuyahisabu.
يَحۡسَبُ أَنَّ مَالَهُۥٓ أَخۡلَدَهُۥ
Open ayah 104:3Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
كَلَّاۖ لَيُنۢبَذَنَّ فِي ٱلۡحُطَمَةِ
Open ayah 104:4Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama.
وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلۡحُطَمَةُ
Open ayah 104:5Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama?
نَارُ ٱللَّهِ ٱلۡمُوقَدَةُ
Open ayah 104:6Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa.
ٱلَّتِي تَطَّلِعُ عَلَى ٱلۡأَفۡـِٔدَةِ
Open ayah 104:7Ambao unapanda nyoyoni.
إِنَّهَا عَلَيۡهِم مُّؤۡصَدَةٞ
Open ayah 104:8Hakika huo utafungiwa nao
فِي عَمَدٖ مُّمَدَّدَةِۭ
Open ayah 104:9Kwenye nguzo zilio nyooshwa.