التكاثر
At-Takaathur
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
أَلۡهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُ
Open ayah 102:1Kumekushughulisheni kutafuta wingi,
حَتَّىٰ زُرۡتُمُ ٱلۡمَقَابِرَ
Open ayah 102:2Mpaka mje makaburini!
كَلَّا سَوۡفَ تَعۡلَمُونَ
Open ayah 102:3Sivyo hivyo! Mtakuja jua!
ثُمَّ كَلَّا سَوۡفَ تَعۡلَمُونَ
Open ayah 102:4Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua!
كَلَّا لَوۡ تَعۡلَمُونَ عِلۡمَ ٱلۡيَقِينِ
Open ayah 102:5Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
لَتَرَوُنَّ ٱلۡجَحِيمَ
Open ayah 102:6Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!
ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيۡنَ ٱلۡيَقِينِ
Open ayah 102:7Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini.
ثُمَّ لَتُسۡـَٔلُنَّ يَوۡمَئِذٍ عَنِ ٱلنَّعِيمِ
Open ayah 102:8Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema.