القارعة
Al-Qaari'a
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
ٱلۡقَارِعَةُ
Open ayah 101:1Inayo gonga!
مَا ٱلۡقَارِعَةُ
Open ayah 101:2Nini Inayo gonga?
وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلۡقَارِعَةُ
Open ayah 101:3Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga?
يَوۡمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلۡفَرَاشِ ٱلۡمَبۡثُوثِ
Open ayah 101:4Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika;
وَتَكُونُ ٱلۡجِبَالُ كَٱلۡعِهۡنِ ٱلۡمَنفُوشِ
Open ayah 101:5Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
فَأَمَّا مَن ثَقُلَتۡ مَوَٰزِينُهُۥ
Open ayah 101:6Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,
فَهُوَ فِي عِيشَةٖ رَّاضِيَةٖ
Open ayah 101:7Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.
وَأَمَّا مَنۡ خَفَّتۡ مَوَٰزِينُهُۥ
Open ayah 101:8Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,
فَأُمُّهُۥ هَاوِيَةٞ
Open ayah 101:9Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!
وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا هِيَهۡ
Open ayah 101:10Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?
نَارٌ حَامِيَةُۢ
Open ayah 101:11Ni Moto mkali!