الفلق
Al-Falaq
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ
Open ayah 113:1Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ
Open ayah 113:2Na shari ya alivyo viumba,
وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ
Open ayah 113:3Na shari ya giza la usiku liingiapo,
وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِي ٱلۡعُقَدِ
Open ayah 113:4Na shari ya wanao pulizia mafundoni,
وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ
Open ayah 113:5Na shari ya hasidi anapo husudu.