الناس
An-Naas
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ
Open ayah 114:1Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
مَلِكِ ٱلنَّاسِ
Open ayah 114:2Mfalme wa wanaadamu,
إِلَٰهِ ٱلنَّاسِ
Open ayah 114:3Mungu wa wanaadamu,
مِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ
Open ayah 114:4Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ
Open ayah 114:5Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
مِنَ ٱلۡجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ
Open ayah 114:6Kutokana na majini na wanaadamu.