الإخلاص
Al-Ikhlaas
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ
Open ayah 112:1Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ
Open ayah 112:2Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ
Open ayah 112:3Hakuzaa wala hakuzaliwa.
وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ
Open ayah 112:4Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.