الكوثر
Al-Kawthar
Translation: Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani · Open the surah
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِنَّآ أَعۡطَيۡنَٰكَ ٱلۡكَوۡثَرَ
Open ayah 108:1Hakika tumekupa kheri nyingi.
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ
Open ayah 108:2Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلۡأَبۡتَرُ
Open ayah 108:3Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.